Kiswahili Dadisi Grade 3
Availability:
yes
Ksh.0.00
Ksh.313.00
Sold By
GoBooks Delivery
Successful Sales:
1,000 items
Delivery: 1-3 Days Pay on delivery
Education Level:
Age Group: Grade 3
Requisition: Recommended
Author: Waititu/Matei/Mbugua
Publisher: Oxford
Quick Overview
Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. Vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi iliyopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.